6 Juni 2025 - 15:39
Infografia | Utambulisho wa Qā’im wa Aal Muhammad (s.a.w.w) katika Khutba ya Ghadir (9)

"Tambueni! Hakika mwisho wa Maimamu kutoka kwetu ni Qā’im al-Mahdi...Hakika yeye ndiye Hujja aliyebakia, na baada yake hakuna hujja mwingine".

Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA- Imam Al-Qaim (a.t.f.s) ametambulishwa bayana katika Hotuba ya Ghadir kwa maneno yaliyokuwa wazi na yanayoeleweka kwa kila mtu. Maneno hayo yalikuwa kama ifuatavyo: 

ألا إِنَّ خاتَمَ الْأَئِمَةِ مِنَّا الْقائِمَ الْمَهْدِي ... أَلا إِنَّهُ الْباقي حُجَّةً وَلاحُجَّةَ بَعْدَهُ وَلا حَقَّ إِلاّ مَعَهُ وَلانُورَ إِلاّعِنْدَهُ. أَلا إِنَّهُ لاغالِبَ لَهُ وَلامَنْصورَ عَلَیْهِ.

Infografia | Utambulisho wa Qā’im wa Aal Muhammad (s.a.w.w) katika Khutba ya Ghadir (9)

"Tambueni! Hakika mwisho wa Maimamu kutoka kwetu ni Qā’im al-Mahdi...Hakika yeye ndiye Hujja aliyebakia, na baada yake hakuna hujja mwingine.
Hakuna haki ila iliyo pamoja naye, na hakuna nuru ila iliyoko kwake.Tambueni! Hakuna atakayemshinda, wala hakuna wa kumsaidia adui yake".

Infografia | Utambulisho wa Qā’im wa Aal Muhammad (s.a.w.w) katika Khutba ya Ghadir (9)

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha