Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (as) -ABNA-: Imam Hasan al-Askari (as) amesema:"Alama za Muumini ni Tano:
1. Kuswali rakaa 51 kwa siku na usiku (rakaa 17 za wajibu na rakaa 34 za sunnah/nafila).
2. Kusoma Ziara ya Arbaeen (ikisisitizwa na kuandikwa kwa namna tofauti ikilinganishwa na zingine).
3. Kuvaa pete katika mkono wa kulia.
4. Kuweka kipaji cha uso ardhini (wakati wa kusujudu) juu ya udongo.
5. Kutamka kwa sauti ya juu / Kuidhihirisha "Bismillāh ar-Rahmān ar-Rahīm" ndani ya Swala.
(Rejea: Mafatih al-Jinan, mlango wa Ziara ya Arbaeen)
Your Comment