10 Oktoba 2025 - 14:23
Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mkutano wa 32 wa Kitaifa wa Sala

Ayatollah Khamenei katika ujumbe wake kwa Mkutano wa 32 wa Kitaifa wa Sala alielezea mambo muhimu yanayohusu mkutano huu pamoja na sifa za sala.

Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA- Mkutano wa 32 wa Kitaifa wa Sala uliofanyika jana (Alhamisi, 9-10-2025) katika Mji wa Rasht, ulifunguliwa kwa kusomwa kwa ujumbe wa Ayatollah Khamenei.

Muhtasari wa maandishi ya ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi kwa Mkutano wa 32 wa Kitaifa wa Sala, unaletwa kwa wasomaji wa ABNA, na unawasilishwa kama ifuatavyo: "Ushiriki wa Wote katika Kueneza na Kuzingatia Sal"

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha