19 Machi 2011 - 20:30

eshi la polisi la Kenya latangaza kukamata waganda 29 wakiwashakia kuwa wanataka kujiunga na kikundi kinacho pinga Serekali ya Somalia

Jeshi la polisi la Kenya latangaza kukamata waganda 29 wakiwashakia kuwa wanataka kujiunga na kikundi kinacho pinga Serekali ya Somalia Msemaji wa jeshi la Polisi amesema: watu hao wamekamatwa Nairobi na wapo katika uchunguzi. Inasemekana kuwa watu hao walikuwa wanakusudia kujiunga na kikundi cha Ash Shabab katika kuipinga Serekali ya Somalia