Siku ya juma nne Serekali ya Tunis imetoa taarifa kwamba: waziri huyo ataanza ziara hiyo tarehe 18 mwezi huu, ugonzi huwo uliyasema hayo pasina kutoa ufafanuzi zaidi kuhusu safari hiyo. safari hiyo imetokea kutokana na wito wa miungoni mwa viungozi wa Saudia kumtaka waziri huyo kuizuru Saudia. Raisi wa zamani wa Tunis pamoja na mke wake alikimbilia nchini Saudia na kupata hifadhi nchini humo, pia inasemekana kuwa Saudia mpaka sasa imekana mara mmbili matakwa ya Tunis yakurejeshwa Raisi huyo mkimbizi.
19 Machi 2011 - 20:30
Msimbo wa Habari: 296579
Hamdiy jabaliy, waziri mkuu wa Tunis muda simrefu kwenda Saudia ambako Raisi wa zamani wa Tunis amepewa hifadhi nchi humo.