akiongea na waandishi wa habari Waziri Mkuu wa Urusi Vladmir Putin alisema " nilazima kuimarisha nguvu za kijeshi ili kuweza kuilinda nchi yetu."Kwamujibu wa habari zilizo patikana zinasema Urusi inatarajiwa kutumua zaidi ya £487billion ili kuimarisha maswala ya ulinzi wa nchi hiyo.Putin ambaye anagombea kiti cha Urais wa Urusi mapema mwezi wa Machi mwaka huu alishawahi kuwa rais wa Urusi kabla ya kuchukua waziri mkuu wa Urusi.
19 Machi 2011 - 20:30
Msimbo wa Habari: 297827
ABNA inatuarifu kuwa:Serikali ya Urusi imehaidi kuongeza nguvu na uwezo wa jeshi lake, ili kuimarisha zaidi ulinzi wa nchi hiyo.