Kikao cha kutolewa hukumu ya Mubaraka Dikteta wa zamani wa Misri na watoto wake wawili pia wazili wake wa mambo ya ndani, kwa kesi ya kuuwa waandamanaji wa mapinduzi ya nchi hiyo kipindi cha utawala wake yatolewa kisho.Hukumu hiyo ya Mubaraka na wenzake watatu itatolewa katika mahakama ya makosa ya jinai nchini Misri. mpaka hivisasa kesi iliosikilizwa ni moja tu nayo ni yamauaji ya waandamanaji wa mapinduzi ya nchi hiyo ama kesi nyengene mpaka sasa hazijaanzwa kusikilizwa.Ufisadi wa mali, kujipatia mapato yasio halali, kutumia madaraka vibaya, kuiba mali ya taifa, nimiungoni mwa tuhuma wanazokabiliwa nazo viongozi hao wazamani.Wanasheri wa nchi hiyo wanasisitiza kuwa kama ushahidi utatimia atapaswa kunyongwa.
19 Machi 2011 - 20:30
Msimbo wa Habari: 297943
Kikao cha mahakama kuhusu hukumu ya Dikteta wa zamani wa Misri Husni Mubaraka na wenzake kwa tuhuma ya kuuwa waandamanaji itatolewa kesho.