Raisi wa muda watunis: pamoja kuwa muda mrefu tumeitaka Saudia kumrejesha Ibun Ally (raisi wa zamani wa Tunis) nchini Tunis, lakini yaonekana kwamba Saudia haitamrejesha mtuhumiwa huyo.
Munswiful marzuki katika maojiano na waandishi wa habari amesema: tunaamini kuwa saudia haina makusudio yakumrejesha Ibun Ally(raisi wa zamani wa tunis) katika nchi hiyo.
Raisi huyo amesisitiza kuwa Tunis mara nyingi imewataka viongozi wa Saudia kumrejesha mtuhumiwa huyo nchini, ama saudia haijatoa kauli yoyote kunako hilo na inaoneka hawataki kulitekeleza hilo, lakini sisi tutaendeleza msimamo wetu wakuitaka Saudia kumrejesha kiongozi huyo.