Wizara ya mambo ya nje ya Bilgik imearifu viombo vya habari vya nchi hiyo, kunako jitihada za Raisi wa zamani wa Tunis kuomba hifadhi katika nchi himo.
Wizara hiyo amesema; Zainul Abidina yupo katika juhudi za kuomba hifadhi nchini nakuomba kuishi kaskazini mwa bilgik ambako badhi ya nduguzake wanaishi sehemu hizo.
Inasemekana Zainul Abidina 14/1/2011 katika mapimduzi ya wananchi wa Tunis yeye pamoja na mkewake alikimbilia nchini Saudia, na mpaka sasa viongozi wa Saudia wamekana kumrejesha mtuhumiwa huyo nchini Tunis