TV 24 YA Ufaransa baada ya kutangaza habari hii walielezea kuwa sababu ya ya mlipuko huo mpaka sasa haijafahamika, kutokana na ripoti hii viongozi wa Somalia na walioshuhudia tukio hilo wamsema: mtu mmoja akiwa na mabumu alielekea sehemu anayoishi sharifu shekh Ahmad Raisi wa nchi hiyo na kufanya tukio hilo baya, pia mwaandishi wa habari wa ufaransa aliongeza kusema: kipindi tukio hilo linatokea Raisi wa nchi hiyo haifaamiki sehemu ga alikuwa sehemu gani katika ikulu hiyo. Mpaka hivisasa ufafanuzi kamili wa tukio hilu haujapatikana.
13 Machi 2012 - 20:30
Msimbo wa Habari: 302688
TV ya ufarana imetangaza kutokea mlipuko katika Ikulu ya raisi wa jamhuri ya Somalia katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadiho ambapo kwa uchacje watu watatu wameuawa katika tukio hilo