14 Machi 2012 - 20:30

ABNA inatuhabarisha kuwa:Mahakama inayo shughurikia makosa ya ukiukwaji wa haki za binadamu iliyopo jijini Hague imemkuta na hataia aliyekuwa kiongozi wa Union of Congolese Patriots UPC Thomas Lubanga kwa kuwatumia vijana wadogo chini ya miaka 15 kama wanajeshi katika kundi lake.

Mahakama inayo shughurikia  makosa ya ukiukwaji wa haki za binadamu iliyopo jijini Hague imemkuta na hataia aliyekuwa kiongozi wa Union of Congolese Patriots UPC Thomas Lubanga kwa kuwatumia vijana wadogo chini ya miaka 15 kama wanajeshi katika kundi lake.Lubanga anatarajiwa kuhukumiwa siku za karibuni, kwa mujibu wa wanasheria waliofatilia kesi hii wanasema " huenda akahukumiwa kifungo cha maisha"Thomas Lubanga, amekuwa kiongozi wa kwanza kukutwa na hatia tangu koti hiyo iliyopo Netherlands Hague kuanzishwa muongo mmoja  uliopita.