Kamanda wa jeshi la ulinzi wa jamhuru ya kiislam jeneral Ali Fadavi alisema " Iran itakuwa ni nchi ya pili duniani kumiliki silaha ya kivita yenye uwezo huo.pia aliongezea akisema:Iran haita tikiswa na maadui zake kwani mafanikio yote ya kujilinda ni juhudi za wanasayansi wa nchi hiyo"Mkuu huyo wa jeshi aliyasema hayo wakati wa uzinduzi wa mizinga aina ya IRGC uliyo fanyika hivi karibuni.yafaa kuashiria kuwa nguvu na maendeleo ya kijeshi ya Iran vimekuwa vikiwanyima usingizi viongozi wa Marekani,Israel na waitifaki wao.
23 Aprili 2012 - 19:30
Msimbo wa Habari: 310912
ABNA inatuarifu kuwa: Jeshi la ulinzi wa jamhuri ya kiislam ya Iran limesema kuwa linauwezo mkubwa wa kijeshi wa kulinda nchi yake, na kuahidi kuwa muda si mrefu watazindua silaha ya kijeshi yanye uwezo wa kwenda mwendo wa kasi wa mita 100 kwa sekunde.