Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Waziri wa mambo ya nje Afrika Kusini hatua ya kwanza baada kuwasili katika Uanja wa Ndege Mehrabad Tehran alizungumza na waandishi wa habari huku uso wake ukiwa na bashasha na kusema: Nawapa mkono wa Idi Fitr na kusema Idi Mubarak kwa Wananchi wote wa Iran na kuisha mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Akiendela kusema: kwa Wananchi wote wa Iran na watakia mafaanikio mema.
Akimalizia kwa kusema: Waziri wa mambo ya nje wa Afrika Kusini alisema: Mkutano wa 16 wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote Tehran ni mafaanikio makubwa ya Nchi.