29 Agosti 2012 - 19:30

Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Kwa munasaba wa Mkutano wa 16 wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote Tehran Tovuti ya KHAMENEI.IR imesambasa picha za Ayatullah Sayyd Ali Khamenei akiwa katika Mkutano wa Nane wa Jumuiya ya NAM Harare Zimbabwe mwaka 1986