24 Septemba 2012 - 06:47

Jiwe la msingi kwa ajili ya Ujenzi wa Daraja la Kigamboni lawekwa na ukikamilika ndiyo litakuwa daraja refu zaidi Afrika Mashariki

Serikali ya Tanzania inaendelea na mkakati wake wa kuimarisha miundombinu katika miji mbalimbali ikiwemo Jiji la Dar Es Salaam ambapo Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameweka jiwe la msingi ikiwa ni ishara ya kuanza ya  mchakato wa ujenzi wa darala la Kigamboni ambalo linakuwa ni kubwa na refu zaidi katika nchi za Afrika Mashariki.