2 Oktoba 2012 - 20:30

Mmoja kati ya Viongozi wa Umoja wa Mataifa alituhumu Waasi na waounga Waasi mkono kutumia Watoto katika Vita Nchini Syria.

Ripoti ya shirika la habri la Ahlul Bayt(as) –ABNA- Laila Razuqi mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Watoto alisema: Waasi amabo wanaodaiwa kuitwa Jeshi huru la Syria watumia Watoto katika Vita na suala hili kamwe halikubaliki.

Aidha Laila Razuqi alisema: Ushahidi upo unaonyesha Waasi amabo wanaodaiwa kuitwa Jeshi huru la Syria kutumia Watoto kubeba silaha na wengine kupewa silaha na kupigana Vita.