Msaidizi wa Rais wa jamhuri ya Sudan baada ya kuihami nchi yake pia ameunga mkono harakati za kikundi cha kiislamu cha Hamasi katika ardhi ya Palestina na kutangaza kuwa Khartom haitishiki na serikali ya kizayuni Gazeti la As safiir laandika kuwa (Al Haji Adam) msaidi wa Rais wa jamhuri ya Sudan, amesema Khartom haitishiki na utawala wa kizayuni wa Israel na amesisitiza kukiunga mkono kikundi cha hamasi nchini Palestina.Al Haji Adam amesema yeye anakiunga mkono kikundi cha hamasi na vikundi vyote vinavyotafuta haki na kupinga utawala wa kizayuni na kwammwe hatutaupa nasfasi utawala huo
4 Novemba 2012 - 20:30
Msimbo wa Habari: 362448
Msaidizi wa Rais wa jamhuri ya Sudan baada ya kuihami nchi yake pia ameunga mkono harakati za kikundi cha kiislamu cha Hamasi katika ardhi ya Palestina na kutangaza kuwa Khartom haitishiki na serikali ya kizayuni