16 Novemba 2012 - 20:30

Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Wimbi la uvamizi la walowezi la endelea Ghaza, utawala haramu huu bila kusitisha mauwaji na kutokuwa na huruma umeendeleta na mfumo wake mpya wa mashambulizi Palestina kuuwa watoto wasokuwa na hatia, Eeee!! Waislamu tupo wapi au umoja wa kiarabu upo wapi?! Kwanini mwakaa kimya?!! Ila mambo yafanyikayo Syria mmekuwa wa kwanza kuyashadidia kwanini?!! Kwanini mwa watelekeza wapalestina?!! Eee!! Allah kuwa shahidi kwa wanayofanya waja wako.