Shirika la habari la Ahlul Bayt(a.s) –ABNA: moja kati ya vyombo vya habari vinaashiria kufungwa njia zote za kuingilia viwanja vya Tahriri mjini Cairo kwa lengo la kuwazuia wananchi kuingia katika viwanja hivyo.Baadhi ya vyanzo vya habari muhimu vinaashiria kuwa tukio hilo nikwaajili ya kuzuia wananchi wanaokusudia kuingia katika viwanja hivyo kwalengo la kuadhimisha miaka miwili ya mapinduzi ya nchi hiyo
24 Januari 2013 - 20:30
Msimbo wa Habari: 384792
Baadhi ya vyombo vya habari vyanukuu kufungwa njia zote zinazo ingilia katika viwanja vya Tahriri mjini Cairo kwalengo la kuwazuiia wananchi ambao wanakusudia kuingia katika viwanja hivyo