24 Machi 2013 - 19:30

Jeshi huru la Syria limeeleza kuwa halimtambuwi Ghassan Hitto kuwa rais wa muda wa Muungano wa Upinzani Syria.

Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Baada tu ya kujiuzulu Ahmad Muadh Khatib kundi la upinzani almaaruf kama jeshi huru la Syria limeeza kua halimtambuwi Ghassan Hitto kuwa rais wa muda wa Muungano wa Upinzani Syria.Ahmad Muadh Khatib alijiuzulu kwa madai kurukwa misitari myekundu.Ahmad Muadh Khatib alisema: Pande nyingi za Kimataifa zapenda kuivuta Syria upande wao na kutumia watu wasokua na sifa za uongozi ili kuwafikisha katika malengo yao, na mwenye kuwapinga na kuwa kinyume nao huzingirwa kufa na njaa ajiona.