nimuhimu kuashiria kuwa Korea kasikazini kwasasa imejipanga kupambana na Marekani ambayo imekuwa ikichochea fitina kati ya Korea mbili na kuizidishia vikwazo vya kiuchumi Korea kaskazini. Waziri wa nchi za kigeni wa Marekani John Kerry amesema kuwa iwapo Korea Kaskazini itaendelea na mipango yake iliyotangaza ya Nuclear, basi kitendo hicho kitahesabika kuwa ni uchokozi utakaoleta madhara makubwa.Majeshi ya Korea Kaskazini kwasasa yapo tayari yakisubiri amri tu, yaweze kuteketeza kambi zote za majeshi ya Marekani zinazowazunguka,katika kipindi hichohicho Marekani inaendelea kuongeza wanajeshi wake na kinga za makombora ili kujihami na hatari hii kubwa itakayopolekea kushuka chini nafasi ya Mmarekani katika bara la Asia.
3 Aprili 2013 - 19:30
Msimbo wa Habari: 405712
mgogoro wa mataifa mawili ya Korea Kaskazini na Korea kusini wazidi kushadidi Korea ya kusini imesema kuwa nchi jirani ya Korea Kaskazini inawazuia raia wake kwenda kazini upande wa pili wa mpaka.