mazungumzo haya, kwa siku ya awali kwa bahati mbaya hayakufikia muafaka hasa baada ya pande mbili kutofautiana katika misimamo yao. Upande wa pili unadai kuwa utapunguza baadhi ya vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Iran iwapo Iran itakubali kusimamisha sehemu ya kazi zake za nyuklia. yafaa kuashiria kuwa shughuli za kinyuklia za Iran ni za amani na zinafanyika chini ya uangalizi wa wawakilishi wa umoja wa mataifalakini Marekani na waitifaki wake,wanadi kuwa Iran inampango wa kutengeneza silaha za maangamizi, hivyo mataifa hao katika kuishinikiza Iran kuachana na haki yake hiyo ya kimsingi imeamua kuiwekea Iran vikwazo vikwazo vikali ambavyo vimepelekea vimepelekea pesa ya Iran kushuka thamani na bei ya vitu kupanda kwa kiasi fulani na kwa upande wapilivikwazo hivyo vimeamsha vipaji vya wairan ambapo mpaka sasa wamekuwa wakivuka vikwazo hivyo kwa kuzidi kujitegemea.
5 Aprili 2013 - 19:30
Msimbo wa Habari: 406500
Suala la nyuklia ya Iran limerejeshwa tena kwenye meza ya majadiliano ili kujadili hatima ya mpango huo na hatima yake.