ABNA: Habari zinasema polisi wawili waliuawa na watu wengine 19 kujeruhiwa wakiwemo polisi wanne baada ya gari lililotegwa mabomu kulipuka kando ya gari la polisi karibu na uwanja wa soka katika eneo la Tuz Khurmatu mjini Baghdad. Katika tukio jingine mtu aliyekuwa na bunduki alilimiminia risasi gari lililokuwa limewabeba madaktari wawili na kumuua mmoja wao kusini mashariki mwa Baghdad.
4 Julai 2013 - 19:30
Msimbo wa Habari: 437246
Watu watano wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa katika mashambulizi tofauti yaliyotokea nchini Iraq.