Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Abu Zaid mjerumani mmoja kati ya magaidi maarufu wanaongoza vita katika Mkoa wa Ladhiqiya aliuwawa katika Mkoa huo.
Jeshi la Syria leo liliendelea kuangamiza magaidi katika mikoa ya Salma na Rabi`i kaskazini mwa Mkoa wa Ladhiqiya.
Aidha jeshi la Syria bado la endelea mapambano makali katika eneo la Jabalul Akrad pembezoni mwa Mkoa wa Ladhiqiya.
Katika Mkoa wa Hems pia Jeshi la Syria la endelea kuwatowa Waasi katika vijiji vya Alqusur, Alqarabis na Jaura Alshiah na kufaanisha kuuwa baadhi yao.
