Mradi huu wa mazao mara dufu ya mbegu umefanikiwa pakubwa nchini Rwanda ambapo wakulima watapata mbegu za mahindi na muhogo.
Mradi huu ulibuniwa na taasisi ya kimataifa ya utafiti wa kilimo pamoja na taasisi ya utafiti wa chakula duniani.
Rwanda inajizatiti kuimarisha kilimo chake na kuboresha uchumi wao kwa jumla unaonendelea kukuwa kwa kasi zaidi barani Afrika.