Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Kundi la waasi la nchini wametangaza kuwa As-Ad Susaq mmoja wa viongozi wa waasi nchini Syria kauwawa katika Mkoa wa Damaskas.
Susaq hatimae kuuwawa katika mapigano Syria baada ya mapigano makali katika Mkoa wa Damaskas.
Jeshi la Syria lilitangaza kuwa katika mikoa mingine lilifaanikiwa kuwaangamiza na kuwatowa mafichoni mwao na kuuwawa wengi miongoni mwao.

