ndege hiyo ya kijasusi ilikuwa imeangushwa na kuchukuliwa na wanagambo wa kiparestina ikiwa katika shughuli zake za kijasusiaidha utawala wa Israel umethibitisha kuanguka kwa ndege hiyo kutokana na hitilafu za kiufundi na umekanusha kuangushwa na wanamgambo wa kiparestina.yafaa kuashiria kwamba utawala dhalimu wa Israel umekuwa ukitekeleza jinai chungu mzima dhidi ya wananchi madhulumu wa Parestine hasa ukanda wa Gaza.
2 Novemba 2013 - 20:30
Msimbo wa Habari: 478028
Ndege isiyona rubabi ya jeshi la utawala dhalimu wa Israel inasadikiwa kuangushwa na wanamgambo wa Hamas huko ukanda wa Gaza