ndege hiyo ambayo ilikuwa na wadhifa wa kufanya ujasusi, ilianguka jana baada ya kupata hitilafu ikiwa angani,ndege hiyo kwa sasa ipo mikononi mwa wanamgambo wa Hamas,Jeshi la utawala ghasibu wa Israel limetangaza kwamba ndege hiyo haikuangushwa bali imeanguka kutokana na matatizo ya kiufundi.


11 Machi 2014 - 20:30
Msimbo wa Habari: 513187
Ndege ya kijasusi ya utawala ghasibu wa Israel imeanguka kusini mwa ukanda wa Gaza.