13 Agosti 2014 - 08:20
Marekani yatuma wataalamu wa kijeshi 130 Iraq

Licha kuwepo maelfu ya askari wa Marekani huko Iraq, serikali ya Marekani imeongeza waaalamu wake wa kijeshi huko Iraq.

Licha kuwepo maelfu ya askari wa Marekani huko Iraq, serikali ya Marekani imeongeza waaalamu wake wa kijeshi huko Iraq.
Chuck Hagel ambaye ni waziri wa ulinzi wa Marekani amesema kuwa: serikali yake imetuma wataalamu 130 ili kujaribu kutafuta njia ya ufumbuzi wa kukabiliana na kundi la kigaidi la Daesh linalokosesha amani raia wa Iraq.
wataalamu hao wamesasiri Iraq Jumanne ya Jana.
yafaa kuashiria kwama kundi hili la Daesh ndilo  linalopambana na serikali  ya Syria.