Magaidi wa Daesh wameendeleza kufanya mashambulizi makali kaskazini mwa Syria.
ina sadikiwa kuwa magaidi hao wakishirikiana wamefanya mashambulizi makali katika mjiwa wa
Kabon, ulioko mpakani mwa Syria na uturuki. pamoja na kushambuliwa mashambulizi ya anga yanayofanywa na Marekan na washirika wake, Magaidi hawa bado wanaonekana kuwa ni tishio kubwa kwa usalama na amani wa raia wa eneo.
Uvamizi wa magaidi hawa kaskazin mwa Syria, umepelekea wananchi wengi wa eneo hilo kuacha makazi yao na kukimbilia nchi jirani ya Uturuki.
6 Oktoba 2014 - 06:58
News ID: 642499

Magaidi wa Daesh wameendeleza kufanya mashambulizi makali kaskazini mwa Syria.