10 Oktoba 2014 - 19:22
Daesh wanawauza mabint wa Iraq na Syria

Kundi la kigaidi la Daesh linaloendeleza mashambulizi dhidi ya serikali ya Iran na Syria limekuwa linawakamata mabint na kuwauza.

Kundi la kigaidi la Daesh linaloendeleza mashambulizi dhidi ya serikali ya Iran na Syria limekuwa linawakamata mabint na kuwauza.
Kundi hili la Kigaidi linalopata udhamini toka kwa Saudia Arabia na Qatar limekuwa likikamata mabinti wa syria na Iraq na kuwabaka na kisha kuwauza kwa madalali wa Kiyahudi na hatimaye kusafirishwa sehem mbali mbali mbali.
Biashara ya kuuza watu imekuwa ni moja ya vitega uchumi vya kundi hili la kigaidi, lenye kuchafua jina la dini tukufu la uislamu.

Tags