23 Julai 2024 - 05:50
Mapambano ya Imam Hussein (a.s) ni mapambano ya maadili mema + Video

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Wakazi na washiriki waliohudhuria katika Kambi ya Imam Hussein (a.s) wakizungumza namna walivyopokea tukio la Karbala. Kambi hii iliandaliwa na "Falah Islamic Development" jijini Dar es Salam / Tanzania.