Katika hafla hii, walikuwepo pia wafuatao: Hujjat al-Islami Wal_Muslimina, "Muhammad Muhammadi Golpaigani", Mkuu wa Ofisi ya Kiongozi Mkuu, Ayatollah "Ridha Ramadhani", Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahl al-Bayt (a.s), Ayatollah Sheikh " Isa Qasim" na Ayatollah "Syed Ahmed Khatami" na Hujjat al_Islami Wal_Muslimina "Syed Abul Hasan Nawab" ambao ni wajumbe wa baraza kuu la Jumuiya hili.