Video | Maombolezo ya Arbaeen ya Hussein na Kifo cha Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w) huko Denver, Amerika
2 Septemba 2024 - 05:36
Msimbo wa Habari: 1482280
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Shia wahajiri wa Kiafghanistan wanaoishi Marekani walifanya mkusanyiko wa maombolezo katika Kituo cha Kiislamu cha "Taq'wa Center" katika Mji wa Marekani wa Denver katika kuhuisha mnasaba wa Arbaeen ya Imam Hussain (a.s) na Kifo cha Mtume Muhammad (s.a.w.w) katika kumi la mwisho la Mwezi wa Safar.