Mkurugenzi wa Huduma za Usaidizi wa Gaza alisema kuwa hakuna tone hata moja la Maji au mkate ulioingia Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza kwa siku 22.
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Wakati mashambulizi ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza uliozingirwa yakizidi kuendelea bila kukatizwa, Wapalestina wanaendelea kushindwa kukidhi mahitaji mengi muhimu, ikiwa ni pamoja na chakula (ambacho ni hitajia muhimu na kitu) cha msingi (katika Maisha ya Mwanadamu), na hilo ni kutokana na eneo hilo kuwekewa vikwazo kwa ujumla.
Mkurugenzi wa Huduma za Usaidizi wa Gaza alisema kuwa hakuna tone hata moja la Maji au mkate ulioingia Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza kwa siku 22.