Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi, amesema kuwa Israel imepanua eneo la kile kinachoitwa “mstari wa njano” (yellow line) ndani ya Gaza wakati dunia ikiwa imeelekeza fikra zake kwenye mgogoro wa Iran, akisisitiza kuwa hatua hiyo inapaswa kusitishwa mara moja.
Ameongeza kuwa mwelekeo huo wa Israel unahatarisha juhudi za utulivu na unapaswa kukomeshwa bila kuchelewa.
Your Comment