Eric Cantona 45 alifanya uamuzi huo na kuandika barua kwa Mameya ili kupata sahii 500 ambazo zitamwezesha kugombea uchaguzi wa rais. Eric Cantona ambaye atakumbukwa mmnamo mwaka 1995, arimrukia mshabiki wa mpira wa miguu aliye mtupia maneno machafu wakati Cantona akiwa uwanjani akicheza mechi. Wanachi wa Ufaransa wanatarajia kufanya uchaguzi wa raisi hivi karibu, ambapo rais wa sasa Nicolas Sarkozy anampango wakuwania tena kiti hicho kwa mara ya pili.
19 Machi 2011 - 20:30
Msimbo wa Habari: 290435
ABNA inatuarifu kuwa:Mchezaji maarufu Eric Cantona aliyekuwa timu ya Manchester United ametangaza wiki hii dhamira yake ya kugombea nafasi ya urais wa Ufaransa unao tarajiwa kufanyika hivi karibuni.