Ripoti ya Shrike la Habari la AhlulBayti-ABNA- wananchi wa Tunis waandamana katika maeneo ya Ubalozi wa Ufalme wa Saudia na kuitaka nchi hiyo kumrejesha Zainul Abidina bin Ally alie kimbilia katika nchi hiyo. Zainul Abidina bin Ally dikteta wa zamani wa nchi ya tunis alikimbia katika muda wa mapinduzi ya wananchi wan chi hiyo kwenda Saudia na kujificha katika nchi hiyoMaandamano hayo yalifanyika katika zama ambazo wakisherehekea mwaka mmoja wa mapinduzi ya wananchi wan chi hiyo. Wananchin hao wamepinga safari ya Amiri wa Qatar katika nchi hiyo na kumtuhumu kuwa kibaraka wa Wazayuni na Marekani.
19 Machi 2011 - 20:30
Msimbo wa Habari: 290886
Wananchi wa Tunis waandamana kuutaka utawala wa Saudia kumrejesha Zainul Abidina bin Ally Dikteta wa zamani wa nchi hiyo.