Ripoti yay a shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA-Ahmad Ruzi Kiongozi wa maendeo ya Vijana Saudia Arabia katika Mji wa Jeddah alitoa ruhusa ya kuingia na kushiriki Wanawake katika viwanja vya Mpira wa Miguu.
Alisema:kwa mara ya kwanza Saudia imeruhusu kuingia Wanawake katika viwanja vya kandanda na Wanawake watakua na sehemu maalumu yao.
Ikiendelea kusema:Wanawake wa Saudia walazimika kuvaa vazi la Uislamu watakapokua uwanjani.
Uwanja mpya wa Mfalme Abdullah mbao upo Jeddah ambao unauwezo wa kuchukua wa Alfu 60 na sehemu ya Wanawake Alfu15 ni kwa ajili ya Wanawake