19 Machi 2011 - 20:30

Bomu lilotumiwa kumripua Mtaalamu wa nyuklia wa Iran ni mabomu yanayotumiwa na Marekani katika kuendeleza tuhuma za kuwa Waislamu ndio magaidi.

Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Bomu lilotumiwa kumripua Mtaalamu wa nyuklia wa Iran Shahid Ahmadi Rushan ni mabomu yanayotumiwa na Marekani katika kuendeleza tuhuma za kuwa Waislamu ndio magaidi na kuendeleza ugaidi katika Nchi za Kiislamu pia mabomu haya yalishashikwamara kadhaa magharibi mwa Iran.

Bomu la kwanza liliripuka na kumuawa Ahmadi Rushan ama bomu la pili lilikutwa kwenye Maidan Resalat baada ya opresheni ya vyombo vya usalama.

Imeelezwa kuwa bomu hilo ni bomu la aina ya Sumako na limesha tumiwa mara nyingine hapo kabla kuwauwa wataalamu wa nyuklia wengine kabla ya Shahid  Ahmadi Rushan.