Marzuki walipo muoji waandishi wa Habari wa nchini Moroco amesema kuwa: mwaka huu tutajitahidi kujiunga pamoja na ndugu zetu katika nchi za Algeria, Moroco, Libya na Moritania kwalengo la kufufua umoja wa nchi hizo, umoja ambao ulionekana kuzorota kwa muda mrefu.Umoja wa nchi hizo 5 mnamo mwaka 1989 kwa anuani ya itifaki ya kibiashara ya nchi hizo, ili kutaka siku za usoni kuwa ni sehemu muhimu kisiasa na biashara. Muafaka huo ulianza kupoteza nafasi yake kuanzia mwaka 1994 kwa sababu ya khitilafu zilizotokea baina ya nchi mbili (Algeria na Moroco) kuhusu jangwa la magharibi. Amma baada ya kupatikana Serekali mpya nchini Tunis, kumepatikana fikira ya kuuhuisha muafaka huo.
19 Machi 2011 - 20:30
Msimbo wa Habari: 295523
Munswifu Almarzuki, Raisi mpya wa Jamhuri ya Tunis amewasili nchini Moroco siku ya juma tano ili kuzungumzia masuala ya umoja wa nchi za Magharibi, safari hiyo ikiwa ni safari yake ya kwanza ya Raisi huyo baada yakuingia madarakani.