23 Aprili 2012 - 19:30

ABNA inatuarifu kuwa:Shirikisho la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International limeeleza kuwa waumini wa dini ya Kiislam wanabaguliwa katika baadhi ya nchi za Ulaya.

Katika repoti yake Amnesty International ilisema " Watu wenye imani na dini ya Kiislam wamekuwa wakibaguliwa katika nyanja za elimu,kazi na hata kunjimwa uhuru wa kuvaa mavazi ya imani yao au kupata sehemu za kufabyia ibada zao.

"Ubaguzi huu dhini ya waislam unamekithiri katika nchi nyingi hasa baada ya kudai  kuwa zinachunga na kuheshimu haki za binadamu  miongoni mwa nchi hizoni Switzerland,Ufaransa, Spain,Beligium na Uhollanzi. Dini ya kiislam imekuwa ikisambaa kwa kasi na kukubaliwa na watu wengi duniani inagawa maadui wa dini hii wanaitupia tuhuma nyingi dini hii.