kundi la Alshabaab limetangaza bayana kuhusika na mashambulizi ya msafara huo,ambapo jeshi la Umoja wa Afrika ndio lililochukua jukumu la kukabiliana na wanamgambo wa Alshabab na haatimaye kumuokoa rais wa nchi hiyo na athari za mashaambulizi za wanamgambo hao.
29 Mei 2012 - 19:30
Msimbo wa Habari: 318800
ABNA inatuarifu kuwa:Rais wa Somalia Bw: Sharif Sheikh Ahmed amenusurika kufa baada ya msafara wake kushambuliwa vikali nje kidogo ya mji wa Mogadishu.