28 Agosti 2012 - 13:26

Viongozi wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote watawasili leo 28/August/2012 Tehran katika Mkutano wa Jumuiya hiyo.

Ripoti ya shirika la habari la Ahlu Bayt(as)-ABNA-  Viongozi mbali mbali kuwasili  leo 28/August/2012 Tehran katika Mkutano wa 16 wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote.

Watakao wasili leo ni; Waziri Mkuu wa India, Rais wa Zimbabwe, Rais wa Bennin na Naibu wake, na Rais wa Indonesia.

Kuhudhuria Mkutano Wataalam wa Jumuiya ya NAM siku ya Tano na ya Sita ya mwezi huu katika Ukumbi maalum kujadili Mafaili ya Jumuiya hiyo, Aidha leo Asubuhi Mawaziri wa Jumuiya hiyo walikuwa na Kikao maalum kujadili mambo kadhaa na siku ya mwisho pia watakaa kutathmini maendeleo ya Jumuiya.