20 Septemba 2012 - 05:46

Walebanon na Wamisri wamelilaanilaumu jarida moja la Ufaransa lililochapisha katuni za Mtume Mohammed ambazlo ni tusi lingine kwa linaikashifu tena dini ya kiislamu. Katuni hizo zimechapishwa kwenye jarida la Cherle Hebdo.

"Tunalaanimumu vikali walichochapisha kwenyakwenye jarida hilo. Kama walivyoheshimu dini yao na kupinga kitendo chochote kinachokwenda kinyume na dini yaoe, sisi tunapinga vitendo vyote vinavyoilengakashifu dini yetu. Mtume Mohammed ni mtume wa dhati kwetu sisi na kwa Mungu."

Serikali ya Ufaransa ilikuwa imelitaka jarida hilo la Charlie Hebdo lisichapishe katuni za Mtume Mohammed, na kusema kesho Ijumaa Ijumaa iliyopita kwamba itamefunga kwa muda ofisi zake za ubalozi na shule katika nchi zaidi ya 20 ya kiislamu, kwa kuwa mara nyingi maandnamano yanafanyika baada ya swala ya Ijumaa Ijumaa iliyopita. Hatua za usalama zimeimarishwa katikaVilevile imeamua kufunga shule zake nchini Tunisia hadi Jumatatu ijayo. Askari wengi zaidi wametumwapelekwa kulinda ofisi za ubalozi na makazi ya balozi wa Ufaransa mjini Beirut na Cairo.

Katika wiki iliyopita, ghasia na maandamano dhidi ya nchi za magharibi zilitokea katika nyingi za kiarabu barani Afrika na Asia kutokana na filamu iliyotengenezwa nchini Marekani inayomdhihaki Mtume Mohammed.