Ripoti ya shirika la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Jeshi la Syria limeweza kuuwa makanda 4 wa Saudia Arabia na Uturuki katika maeneo ya Maaratu Al-Nuuman.
Aidha jeshi la Syria lilifaanikiwa kuuwa Waasi 13 wengine katika sehemu Diiru Al-Zuur.
Na miongoni mwa waaliouawa katika vita Maaratu Al-Nuuman ni Salim Al-Harby ambae ni mmoja kati ya makamanda wa jeshi la Saudia Arabia wanaosidia Waasi wa nchi ya Syria.