6 Desemba 2012 - 20:30

Viongozi wa upande wa upinzani wa Serikali ya jamhuri ya Misri wametangaza kuwa hawataitika wito wa Rais Mursiy wakufanya mazungumzo nao.

Shirika la Hsbari la Ahlul Bayt(a.s)-ABNA: Upande wa upinzani nchini Misri wakana kuitika wito wa Rais wa jamhuri ya Misri  wa kufanya mazungumzo na wapinzani wake.Kikundi hicho cha wapinzani wamesisitiza kutokubaliana na wito huo ambao kwamujibu wa Muhammad Mursiy  ilikuwa wakutane jumamosi katika ikulu ya nchi hiyo.Nao wameongeza kusema kuwa kukanusha huko kumetokana na Muhammad Musriy kutotekeleza maombi yao ya asili ambayo msingi wake ni kuwa Muhammad Mursiy kusimamisha na kusitisha masuala ya katiba na kuipigia kura katiba hiyo.Nao wapinzani wasisitiza kusimamia haki zao za uhuru wao wakijamii kwanjia yoyote ya kisheria.