Ripotiya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Ahmad Muadh Khatib Rais wa wapinzani Syria kajiuzulu kwa sababu zisizojulikana.
Alisema:Nimejiuzulu ili niwe huru katika kazi zangu.
Ahmad Muadh Khatib katika ujumbe wake Facebook: Mimi niliwaahidi wananchi wa syria
wapenzi kua mimi nakubali cheo hiki kwa masharti kutovuka misitari myekundu na ikitokea hivyo nitajiuzulu.
Kiongozihuyo hakueleza sababu ya kujiengua madarakani ni nini.