




Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Picha ambazo zilizokuwa baso hazijashuhudiwa za Mwanamapinduzi Shahid Hasan Shatiri, Picha hizi ni kumbukumbu ya miaka minane ya vita na Iraq, Shahid alichangia zaidi katika uchoraji ramani na kupalani njia tofauti katika vita. Shahid baada ya vita alisafiri Afghanistani kupangilia baadhi ya mambo na hatimae kwenda Lebanon kwa ajili ya kurekebisha majengo baada ya vita siku 33 ya Israel na Hizbullah kusini mwa Lebanon, yeye alikuwa akihusika na kazi za uhandisi wa majengo yaloharibiwa na Israel, na katika msafara wake wa kutoka Damaskas kuelekea Bairut aliripuliwa na vibaraka wa Israel.




