Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Husni Mubarak leo kaachiwa huru na akionekana huku akishushwa katika ndege ya kijeshi akipelekwa Hospitali.

Mahakana ya misri ilitowa hukumu hapo juzi kuachiwa huru Husni Mubarak.
Mubarak mwenye umri wa miaka 85 kwa kosa la kuuwa wananchi katika maandamano nchini humo.